Akothee arukwa na akili?

Mwimbaji maarufu kutoka Kenya ambaye amewahi kufanya kolabo na Diamond Platnumz amewashangaza watu baada ya kuonekana akilia na kuongea maneno yasiyoeleweka kwa barabara jijini Mombasa.

Video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inaonyesha Akothee akilia kwa barabara Mombasa huku akiwa amevaa nguo chafu.

download latest music    

“Naumwa… Mwambie anibebe… Mwambie anichukue…” Akothee alilia kwa barabara huku umati ukisimama kutazama.

Akothee alitolewa kwa barabara na wanaume wawili ambao walienda na yeye. Haijulikani kama video hio ni ya utani ama ni kweli Akothee amerukwa na akili.

Tazama video hio hapo chini:

https://www.youtube.com/watch?v=ndSucp7tEYk

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere