Alichoandika Alikiba Kwenye Siku yake ya Kuzaliwa

November 29 ilikuwa siku ya kumbukumu ya kuzaliwa na msanii Alikiba ambapo wengi walimtakia siku njema ya kutimiza miaka kadhaa katika maishayake huku wakimuombea mafanikio makubwa.

Lakini kwa upande wake mwenywe anasema kuwa sababu kubwa ya mafanikio yake ni kutokana na mashabiki wake na sara zake kwa mwaka huu ni kuwaombea  mashabiki wke kheri na baraa ili waendelee kumsapoti kwa mapenzi ya dhati kabisa .

download latest music    

Katika ukirasa wake alikiba aliandika “ikiwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kila jambo na pia kikubwa nasmhukuru kwa kunipa mashabiki ambao wanaojali na kunisapoti kwa dhati kabisa , shukrani zangu kwa mshabiki mwaka huu ni funga mwaka na Alikiba  zinakuja shoe mbili kubwa ndani ya December.”

Hivyo kwa mashabiki wategemee kitu kikubwa mwisho wa mwaka huu kwa kuwa Alikiba ametangaza kuwa mashabiki wake watapata kitu cha kujivunia kutoka kwake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.