Alichoandika Irene Uwoya Katika Siku Yake ya Kuzaliwa

Mwanadada Irene Uwoya siku ya leo ametimiza miaka 30, ambapo pamoja na yote na hata kuamua kuweka miaka yake hadharani lakini wapo ambao hawakuamini swala la yeye kuamua kuweka umri wake wakisema kuwa sio kweli kuhusu namba hiyo.

Hata hivyo Irene amewashukuru wote walichangia mafanikio katika maisha yake bila kuwasahau maadui zake pia.

download latest music    

katika ukurasa wake aliandika “Asante MUNGU kwakila kitu kwenye maisha yangu…sina chakusema zaidi ,sifa na utukufu narudisha kwako!!!asante baba na mama kwa kunilea…Asante Krish wangu kwa kunipa nguvu kila siku ya kujituma !!!asanteni watu wangu mlionyuma yangu…Asanteni mashabiki zangu kwa kunifanya kuwa Irene…sina chakuwalipa nawapenda sanaaa…pia Asanteni maadui zangu sababu nyinyi pia mnanipa nguvu ya kuendelea mbele na MUNGU awabariki sanaaa chuki zenu ziendelee kuwa baraka kwangu!!!HAPPY BIRTHDAY LOLO(happy birthday to me) “

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.