Alichoandika Ummy Mwalimu Baada ya Kuhudhuria Harusi ya Kiba -Square.

wikiend hii ilikuwa ndio kilele cha sherehe ya harusi ya wanafamilia ya akiba ambapo abdul kiba na alikiba walikuwa wakisherekea kufunga ndoa na wake zao ruwayda pamoja na amina.wageni waalikwa walikuwa weng na waliokuwepo wengine walikuwa ni watu  weye nyazifa mbalimbali kutoka serikalaini akiwemo ummy mwalimu.

baada ya harusi iliyofanyika april 29, waziri ummy mwalimu aliandika amneno ya shukrani na pongezi nyingi kwa familia hiyo ya kiba hususani kwa wanandoa hao.katika ukurasa wake wa twitter alindika

download latest music    

asanteni sana Alikba na Abduli kiba kwa  kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu,nawatakia maisha mema ya ndoa yenye kheri na furaha, baraka na maelewano pamoja na wake zenu Amina na Ruwayda.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.