Alikib Aliwahi Kunitongoza, Alafu ni Mbahili:-Kidoti Baby

Mwanadada anaejulikana kwa jina la Kidoti baby amefunguka na kutangaza kuwa alshawahi kutongozwa kimapenzi na msanii mkubwa wa bongo fleva nchi  Alikiba kipindi ambacho bado alikuwa hajafunga ndoa.

Wadada wengi wamekuwa wakisema mambo mbalimbali kuhusu wasanii huku skedno hizo nyingine zikiwa zinawachafua wasanii hao wakubwa lakini zingine zikiwa za kweli kuhsuu wao.

download latest music    

Hata hivyo mwanadada huyo anaendelea kuhusu kuwa , alipotingozwa na alikiba  alikuwa najua nini anafanya kwa sababu yeye alikuwa ni mtu wa kutaka pesa na kusepa lakini walichoshindwana na alikiba ni kwamba Alikiba alikuwa mbahili sana.

Alikiba alinitongoza alafu bahili,mimi ni malaya na pia ni mdangaji maarufu, yoyote ninayekutana nae tunakubaliana kama anapesa ananilipa ninasepa”

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.