Alikiba Aburuzwa Mahakamani kisa Matunzo ya Mtoto.

Mwanamuziki Alikiba ambae hivi karibuni ali-trend sana  baada ya kufunga ndoa iliyotikisa afrika mashariki kote amepelekwa mahakamani na mwanamke mmoja anaesemekana kuwa ni muuzaji wa mitumba katika soko moja jijini Dar baada ya kushindwa kuto amatunzo ya mtoto wake aliyebahatika kuzaa na dada huyo walipokuwa katika mahusiano.

Mwanadada huyo Hadija Hasan amefunguka kesi hiyo ya madai na kusema kuwa anadai jumla shiling  milion 1.41 ikiwepo ada ya mtoto huyo  na matunzo ya mtoto kwa muda wa miaka 5  huku jina la mtoto likiwa limehifadhiwa ili kulinda sheria ya maadili.

download latest music    

Mwanadada huyo ansema kuwa mwaka 2013 January alijifungua mtoto wake wa kike katika hospitali ya  Mikocheni huku baba wa mtoto akiwa ni mlalamikiwa ambae ni Alikiba.

Kutokana na sheria yamadai na matunzo ya mtoto , mshtakiwa anatakiwa kutoa pea za matunzo ya mtoto kwa uda wote aliokuwa amezaliwa mtoto mpaka sasa ambapo  kunapesa ya chakula, malazi, michezo na burudani kwa mtoto, afya  na elimu yake kama umri wa kwenda shule umefikia , lakini pia mama wa mtoto anasema kuwa alikiba aliweza kutoa pesa ya matunzo kwa miezi ya mwanzo tu na baada ya hapo aliacha kufanya hivyo hata alipokuwa akitafutwa alikuwa akipuuzia.

Mahakama inaombwa kumuamuru baba wa mtoto kulipa fidia ya miezi yote aliyoshindwa kutekeleza majukumu yake tangu January 2017, huku akiomba kulipia ada ya mtoto ya shule  mabayo ni laki 9 huku akiendelea na zoezi ilo ikiwa ni kama sehemu ya majukumu yake kwa mtoto.Kesi hii ya madai kwa Alikiba ilishawahi kusambaa na kusemwa kuwa ilikuwa ni kiki iliyokuwa ikitafutwa na mama huyo lakini alikuwa

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.