Alikiba Achafua Hali ya Hewa , Mashabiki Wamsubiri kwa Hamu.

Mwanamuziki Alikiba ameonekana kuchafua hali ya hewa baada ya kuweka video inayoonyesha kama akiwa katika maandalizi ya video yake mpya ambayo inaonekana kuwa karibuni kutoka kwa mashabiki.

Muamko mkubwa wa mashabiki unakuja pale ambapo mashabiki wamekuwa na hamu kubwa ya kutaka kusikia ngoma mpya kutoka kwa alikiba maana tangu ametoka ngoma mpya mwaka  huu mwezi mei hajatoa tena ngoma mpya.

download latest music    

Hata hivyo hii inawaweka mashabiki katika hali ya manai ukizinagtia kuwa baada ya alikiba kujiingiza katika ndoa alijikita katika maisha ya mpira kitu kilichowapa sana waswasi mashabiki kwa kudhani kuwa msanii huyo anaweza kukaa muda mrefu bila muziki.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.