Alikiba Aibukia Fiesta Tanga.

Msanii Alikiba ambae aliiibuka ukumbuni na kuwaacha midomo wazi mashabiki zake  kutokana na kutotegemea kumuona msanii huyo jukwaani kwa hivi karibuni.

Alikiba ambae aliibuka ghafla baada ya kuingia msanii Mr blue na kuimba wimbo mmoja na Mr blue aliibuka shangwe kubwa kutokana na ukweli kuwa msanii huyo amekuwa haoneknani sana katika makundi ya mashabiki wala kufaya show kwa sasa mara kwa mara kutokana na majukumu mengi ikiwa pamoja na kutaka kukikuza kiaji cahke kipya cha uchezaji mpira.

download latest music    

Alikiba akiwa jukwaani na Mr Blue.

Hata hivyo mashabiki bado wategemee kitu kutoka kwa alikiba katika msimu huu wa fiesta kwa sababu bado kuna mikoa mingine mingi fiesta haijafika  hivyo ana nafasi kubwa bado ya kuonana na mashabiki wake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.