Alikiba Akiri Kumkubali Barnaba Classic.

Msanii wa muziki nchi alikiba ameshindwa kujizuia kuonyesha kuwa amekuwa akimkubali msanii mwenzake wa miondoko ya zouk barnaba classic na kuweka picha ya msanii huyo katika ukurasa wake wa instagra huku akisema kuwa anampenda sana barnaba.

Barnaba amabe jana aliweza kupata bahaati ya kufanya show katika harusi ya dada yake na alikibailiyofungwa siku ya August 1 na mchezaji mpira wa timu ya Taifa Abdul Banda.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram na twitter alikiba aliweka picha ya msanii huyo huku akiandika “i like this guy…thanks for coming ‘

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.