Alikiba awatumbuiza wengi kwenye ‘Lip Sync Battle’ na kuibuka mshindi

Iwapo hukunuona Alikiba kwenye lip sync battle ambayo ilipnyeshwa kwenye MTV base jumamosi hii basi ulipitwa na show ambayo ilimpa Kiba umaarufu Nigeria na Afrika kusini.

Mkali huyu wa Aje aliwatumbuiza mashabiki kwa nyimbo mbili lakini kilichowapa wengi furaha ni wimbo wake wa mwisho uliotungwa na Yvonne Chaka Chaka wa Afrika Kusini. Alikiba alionekana kuvalia nguo za kike na alivyokuwa akicheza, wengi wangedhani Kiba hana mifupa kwenye kiuno chake.

download latest music    

Tazama video hiyo hapa.

https://instagram.com/p/BUU8fswlSxb/

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua