Alikiba Kutumbuiza Fiesta Grand Finale December Hii.

Msanii anaepedwa  na mashabiki sana Afrika  Mashariki pengine kutokana na mambo yake anayofanya ukiachana na muziki lakini pia hata nidhamu , Alikiba amefunguka na kuwatangazia mashabiki wake kuwa ile tarehe aliyokuwa ametangaza kwa ajili ya show yake na mama Yyone Chakachaka ambayo ilikuwa ni December 22 itapelekwa mbele na kufanya February katika siu ya wapemdanao huku tarehe hiyo akiwaahidi amshabiki wake kukutana nae katika tamasha la Fiesta.

Akiweka ratiba hiyo katika ukurasa wake, alikiba ansema kuwa kufunga mwaka na king kiba ipo pale pale itakayofanyika december 29 lakini siku ya terhr 22 kutakuwa na grand finale ya tamasha la Fiesta hivyo yeye pia atakuwepo kuwapa mashabiki wake kile wanachostaili.

download latest music    

Hii itakuwa habari njema kwa mashabiki kwa sababu kwanza tamsha hilo lilionekana kukosa matumaini ya kufanyika kwa wakazi wa dar hasa baada ya  kuhairishwa, lakini pia uwepo wa alikiba katika stage unoageza hamasa ya mashabiki wanaotaka kumuona.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.