Alikiba na Mkewe Wawakumbuka Watoto wa Kigamboni.

Msanii wa muziki alikiba akiwa ameambatana na mke wake wametoa msaa katika moja ya kituo cha watoto yatima kilichopo Kigamboni kinachojulikana kama Amani Orphanage Foundation na kutoa kitu kidogo kwa ajli yao,

Akiwa na watu wake wa karibu alikiba aliweka picha hizo katika ukurasa wake wa instagram na kuandika “Education, food, shelter,  and love that is all they need from you, me and my wife  we do” .

download latest music    

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.