Alikiba, Sauti sol Kumpagawisha Producer kutoka Nigeria

Wasanii wa kundi la Sauti Sol pamona na moja ya wasaii wakubwa kutoka Tanzania Alikiba wamekuwa chachu ya kutaka kufanya kazi na moja ya maproducer wakubwa Duniani kutokea nchini Kenya anaejulikana kama Producer E Kelly.

Kelly anasema kuwa amekuwa akitamani muda mrefu kufanya kazi na wasanii hao kwa sababu anafahamu uweoz wao na anaamini kuwa kazi itakuwa nzuri sana.

download latest music    

Hata hivyo wasanii hao tayari waliwahi kufanya kazi ya pamoja iliyofanya vizuri kuliko maelezo.

Nina tazamia kufanya kazi na sauti sol pamoja na alikiba na ninaimani kuwa tutafanya maajabu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.