Amber Rutty, Mpenzi wake Watoka kwa Dhamana, Mchungaji Mashimo Ahusika

Mwanadada Amber Rutty pamoja na mpezi wake leo siku ya Jumanne wametolewa na wako huru kwa sasa baada ya kupatikana kwa mdhamini wa kuwadhamini wote wawili.

Amber Rutty na mpenzi wake walikwama magereza wa muda mrefu baada ya kukosekana na mdhamini mmoja ambae alitakiwa kuoa dhamana kwa mwanaume wa Amber Ruty ikiwa aliyetakiwa kumtolea dhamana Amber Rutty alikuwa tayari amekiwsha patikana.

download latest music    

Hata hivyo habari na matukio kwa picha yanaonyesha kuwa aliyetoa dhamana hiyo ni mchungaji mashimo wa kanisa moja huko jijini dar ambae hapa karibuni amekuwa akitrend kutokana na kujitokeza kutaka kumsaidia wema kwa kufanya maombi ya kusali na kufunga ili kumtoa katika kifungo cha shetani.

Amber Rutty akiwa anatoka baada ya kuachiwa huru akiwa na mchungaji Mashimo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.