AmberLulu Akana Kutoa Mimba ya Prezzo.

Mwana dada Amber Lulu anadaiwa kutoa mimba ya mpenzi wake wa muda mrefu kidogo sasa msanii kutoka nchini Kenya, Prezzo  .Amber Lulu ambae kuna kipindi hapo nyuma alikuwa amekaa sana nchini Kenya kwa mpenzi wake huyo inasemekana kuwa alikuwa amenasa mimba kwa kipindi hicho na alikuwa huko..

Hata hivyo watu wa karibu wa mwana dada huyo walipokuwa wakitoa ubuyu kwa waandishi wa habari walisema kuwa ni kweli rafiki yao alikuwa na mimba lakini hana tena.Wakielezea kwa undani zaidi rafii zake na maber wanasema kuwa ambaer lulu alijigundua ni mjamzito lakini hakutaka kumwambia mtu yoyote na hata mpenzi wake hakujua hilo kwa sababu pindi anajigundua na hali hiyo hakuwa na maelewano mazuri na mwanaume wake.

download latest music    

Hata hivyo kampuni ya GPL, iliamua kumtafuta amber na kumuuliza kuhusu swala hilo na kukanusha kata kata kuwa yeye sio mjamzito  na kama angekuwa mjamzito basi angeonekana ana kitumbo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.