Aristotle Amsifia Diamond kwa Kupata Size yake, Asema Waliopita ni Matapeli

Moja ya wapendezesha  wasanii maarufu mjibi aristotle amefunguka na kusema kuwa Diamond kwa sasa amepata mwanamke wa size yakekwa sababau yeye na tanasha wamekuwa akiendana sana sio kama wale waliopita hapo awali,

Akiongea alipokuwa akimpodoa mwanadada Tanasha usIkU wa jana, Aristotle aliskikia katika moja ya video aliokuwa akiwareodi wapenzi hao kwa nyuma akisema kuwa simba kwa sasa yuko mahala husika sio kama pale alipokuwa mwanzo.

download latest music    

Aristotle anasema “simba sasa hivi amepata saizi yake,  amechoka kabisa kutapeliwa tapeliwa na wale waliopita, sio wale waliokuwa waimba taarabu mwanzoni na majungu kibao kibao, angalia sasa hivi hata kwa kuthaminisha “

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.