Atakachofanya Nikki wa Pili Akipata Uwaziri

Msanii Nikki wa Pili ambae siku zote amekuwa mstari wa mbele kuandika falsafa zake kuhusu maslahi ya wasanii anasema kuwa ili wasanii watambue kuwa wanafanyaje kazi ni lazima pia serikali itambue wasanii wanafanyaje kazi na wanapataje faida ili kuendelea kulinda maslahi yake na kama wanalinda wajue kuwa wanalinda kitu gani.

Baada ya hapo kinaweza kuanzishwa chama cha wasanii wafanyakazi ambacho kitakuwa kina angalia jinsiwasanii wanavyofanya kazi na kuaidia kudai maslahi mbalimbali ya wasanii  kwa kuandaa sheria taratibu na kanuni zitakazomsaidia msanii.

download latest music    

kubadilisha sanaa kuwa biashara hicho ni kitu kingine,so ni wajibu wa msanii kujifunza misingi ya biashara kwamba hiki nilichonacho mkononi ninawezaje kukiuza, ukinipa uwaziri kitu cha kwanza kukifanya ni kufanya utafiti kuhusu biashara ya muziki.

kujua hii biashara inafanyikaje, uhakisia wake ni upi  na uhaliia wake unatengeneza picha gani,then kutoka hapa tunawezaje kwemda mbele  bila kutafiti kwa facts itakuwa ni blah! blah!

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.