Avril Afunguka Tuzo za Khaligraph Jones
Msanii wa muziki anaefanya vizuri nchini Kenya AVRIL amefunguka na kuelzea hsia zake za furaha baada ya kusikia kuwa msanii mwenzake khaligraph jones ameshginda tuzo za FRIMA nchini Marekani na kuziita habari hizo na habari njema.
Katika ukurasa wake wa instagram Avril alionyesha furaha yake hiyo kwa kuandika “waking up to a great news..congratulation khaliraph jones ….kenyatotheworld…keepingupurownpace…”
Khaligraph ni moja ya wasanii wachache walioibuka kidedea kwa nchi za Africa mwaka huu kutoka kenya huku kukiwa hakuna hata mmoja akitokea tanzania, lakini bado ushindi wa wasanii hawa unaonyesha jinsi gani muziki wa Africa unatambulika nje ya nchi.