Baada ya Kufungiwa Kisa Picha za Utupu, Prety Kindy Aanza Kuteseka Mtaani

Mwanadada Susan Michael amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amekuwa akiteseka sana ktika mitaa na hasa maeneo anayoishi baada ya kufungiwa kwa nymbo na kazi zake hivyo watu wengi mitaanianakoishi wanamuona kama bado hana maadili wakati kwa uoande wake yeye amebadilika.

Mwanadada huyo ameingia katika majanga tena baada ya kufukuzwa katika nyumba anayokaa huko jtaani kwao baada ya baba mwenye nyumba kumwambia kuwa hana nidhamu na ndio maana amefungiwa na serikali.

download latest music    

Akiongea kuthbitisha hilo, moja wa watu wa karibu wa mwanadada huyo anasema kuwa Pretyy Kindy amepewa notice ya kuhama katika nyumba anayokaa kutokana swala hilo la picha za utupu.`

mambo ni magumu sana kwa upande wake,kwani amepewa notice nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya sinza na baba mwenye nyuma wake.sasa hivi ndio anahaha kutafuta pa kuishi na kwakweli tangu amepewa hii adhabu amekuwa akiteseka sana kwakweli na amepoteza kabisa dira.

Prety kindy mwenyewe alitafuta  na kukiri kuwa kwa sasa maisha yake yamekuwa magumu kutokana na jinsi wanavyomchukulia huko mitaani.

Ukweli ni kwamba tangu nimefungiwa na naibu waziri nimekuwa nikinyanyasika sana,hapa baba mwenye nyumba amenifukuza na hata nilipokuwa nimepanga sehemu ya biashara pia wamenifukuza.ninaumia sana kwakweli kwa sababu nimeshabadilika lakini watu wamekuwa wakiniona kama bado navaa nguo za utupu.

Pretty Kindy alifungiwa na naibu waziri wa habari, sanaa na michezo kwa kuwa alikutwa ni mmoja wa wasanii waliokuwa wakichapsha picha za uchi katika mitandao ya kijamii na hata kutengeneza  video za kuonyesha baadhi ya maungo yao wazi.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.