Baada ya Kutoa Wimbo Mpya, Mashabiki wa Hamisa Waofia Mahusiano ya Msanii Wao

Wikiendi hii mwanadada Hamisa Mobeto ametoa wimo mpya uanajuliakana kama tunaendana wimbo ambao amefanya shooting nchini marekani alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kazi zake za kimuziki amojana kufanya tour sehemu mbalimbali.

Hata hivyo katika wimbo huo ambao anaeonekana kuwa ni video model ni mwanaume ambae hapo awali aliwahi kutrrend sana kama mwanaume mwa mwanadada huyo na kusema kuwa wamanza mapenzi hivi karibuni lakini baada ya kutoa kwa muziki huo kila mtu amekuwa na maoni tofauti.

download latest music    

Kama ili kawaida kwa wasanii wa tanznaia kufanya trending sana ya nyimbo mpya hasa pale wanapokuwa wakivunjisha picha za baadhi ya vipande vinavyopatikana katika wimbo unaokuwa unakuja, mashabii wanahofia kuwa inawezekana kuwa drama zote za msnaii huyo inaweza kuwa ni mahusiano feki na ni kwamba kwa sababu alikuwa akitoa wimbo huo ambao mwanaume huyo yupo.

Hata hovyo mwanadada huyo hajasema chochote tangu ametambuklisha wimbo huo huku akiwaacha mashabiki wake njia pande kwa sababu team hamisa waligombana na kuwatukana watu wengi sana kutokana na swala la mwanadada huyo kujiingiza katika mahusiano na mwanaume huyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.