Baada ya Kuwasili Kutoka India, Mh Mwakyembe Amtembelea Mzee Majuto

Waziri wa habari,tamaduni na michezo Mh Harrison Mwakyembe amekwenda kumtembelea msanii mzee majuto  ikiwa ni sikumbili tu tangu alipotua kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya matibabu zaidi.Hata hivyo Mh Mwakyembe amempa moyo na kumsisitizia sana Mzee Majuto kuwa serikali ipo pamoja naye kipindi chote cha matibabu yake.

download latest music    

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.