Baby Madaha Akiri Kuteswa na Skendo ya Madawa.

Mwanadada anefanya vizuri katika kiwanda cha muziki pamoja na filamu Tanzania Baby Madaha amefunguka na kuelezea jinsi ambavyo madawa ya kulevya yalivomtesa na kumuharibia uhusuiano  wake na familia na watu wake wa karibu.

Baby Madaha anasema kuwa kwa muda huko nyuma amekuwaakichukuliwa na wandaji wa filamu na movies kwa ajili ya ku-act sehemu za wadada wanautumia madawa ya kulevya kitu kilichowafanya mashabiki na waangaliaji wa tamthilia kuamini kuwa yeye ni mtumiaji wa madawa ya kulevya kwa sababu ya kuuuvaaa vizuri uhusika katika scene hizo.

download latest music    

Baby Madaha anasema kuwa baada ya mashabiki kuanza kum-mind kwa kutumia dawa za kulevya ilisababisha hata ndugu na watu wake wa karibu kuanza kuamini hivyo  na kuwapa familai yake wasawasi sana hata yeye pia alianza kutesaka kwa hilo.

kusema kweli skndo ya madawa ya kulevya ilinitesa sana kiasi kwamba hata ndugu zangu na wanafamilia walianza kuamini hivyo,unajua mama yangu na mdogo wangu ni daktari kwaio swla hilo lilikuwa ni la aibu sana kwao na ndipo walipoamua kwunichukua kwa nguvu na kwenda kunipima huko  wakagundua kuwa situmii ndipo ilipokuwa nafuu kwao.-Alifunguka Baby Madaha.

Wasanii wengi wamekuwa wakishuka na kufa kimuziki kwa sababu ya matumizi ya madawa ya kulevya kitu ambacho kinawaathiri wazaz wengi na kuanza kutoamini sana sanaa kutokana na hilo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.