Bajeti ya Birthday ya Uwoya Inatisha :-Steve Nyerere

Msanii wa maigizo ya bongo movies Steve Nyerere ambae mara zote amekuwa kama kiongozi kwa wasanii wengine amefunguka na kusema kuwa bajeti ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwanadada Irene Uwoya ni zaidi ya mamilioni ya pesa na wala haina haja ya kuitamka hadharani.

Mwanadada irene ambae ametimiza miaka 30  hivi karibuni allifanya sherehe hiyo  huku akitoa msaada kwa watoto wenye uhitaji na pia  kupokea zawadi mbalimbali kwa watu wanaompenda  inasemekana kuwa amefanya shughuli hiyo  kwa pesa nyingi sana.

download latest music    

Steve Nyerere anasema “bajeti ya birthday ya irene  imevunja rekodi ni zaidi ya  najeti ya wizara na ninaomba tusiiseme hadharani atatafutwa na TRA.”

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.