Beka Ibrozama Aja Upya, Adharau Uimbaji wa Beka Flavour.

Msanii wa siku nyingi beka ibrozama amekuja kwa kasi huku akionyesha kujiamini na kusema kuwa yeye ana kipaji na hakuna wa kuzmidi katika hilo.Beka Ibrozama anasema kuwa yeye ni moja ya wasanii wachach Tanzania wenye sifa zao pale wanapotaka kufanya kazi na wamekuwa hawakosie wala kubahatisha kabisa.

Huku akikosoa wimbo wa msanii mwenzie ambae wametumia jina moja la Beka, Beka flavour, Beka Ibrozama anasema kuwa wimbo wa kibenten haujafanyiwa fair katika uimbaji na ndio maana hata yeye anashindwa kuumbia vizuri kwa sababu ulibyoimbbwa ulikosewa.

download latest music    

Huku akiongea kwa dharau, Beka Ibrozama anasema kuwa wimbo wa kibenten haukupswa kuimbwa hivyo na ndpo aliponaza kuuimba yeye kwa style ambayo yeye aliona kuwa ni bora zaidi kuliko ulivyoimba hapo awali huku akisema “sijui kama hivyo ninavyoimba niko sawa maana mimi fundi sana nazichezea sana hizo nyimbo ndogondogo,”

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.