Ben pol Akubalika Ukweni, Ndoa Yanukia.

Msanii kutoka nchi Tanzania Ben pol ameamua kuthibitisha mahusinao yao baada ya kuamua kwenda ukweni kwa ajili ya kufanya utambulisho na mpeniz wake anaejulikana kama anerlisa huku nchini uganda,

Msanii huyo ambae aliingia katika mahusiano ya kimapezi na mwanamke huyo siku si nyingi zilizopita wameamua kuhararisha mahusiano hayo na kuamua kujitambulisha kwa wazazi hatua ambayo inaleta msukumo wa ndoa.

download latest music    

Ben pol atakuwa mwanamuziki wa kiume anaeongeza idadi ya wasanii wanaokwenda kuoa nje ya nchi na kuacha wasichana wa kitanzania.

BEN POL AKIWA NA WAZAZI WA ANERLISA

Ben pol akiwa na Anerlisa wakifurahia jambo

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.