Bilnass na Nandy Kufanya Kazi Pamoja

Ukachana na yake yaliyopita bada ya video yao kuvuja,wasanii bilnass na nandy wameshapanga kufanya kazi pamoja na kwamba waiwli hao hawana ugomvi wowte kwa sasa ni marafiki wakubwa na wataendelea kufanya kazi pamoja.

akiongea na kipindi cha kikaangoni live ya EATV, billnass amethibitisha hayo na kusema kuwa wawili hao hawana ugomvi kabisa kwa sasa.

download latest music    

kuna ngoma tumefanya pamoja , ni ngoma tumefanya chini ya s2kizzy na ninaamini muda wake ukifika tutaitoa tu, na ninachojua ni kwamba wimbo ni mkali tu.kuhusu hilo swala lililotokea , tayari tulishaomba msamaha kwa wananchi na jamii kwa ujumla  na sasa maisha ya kawaida yanaendelea , hivyo hatuna tofauti yoyote ile kwakuwa naiheshimu sana familia yake kwa sababu mama yake amekuwa ni mtu wa kujitoa sana kusapoti kazi za mwanae 

Nandy na Billnass walikumbwa na skendo ya kuvujisha video ilikuwa ikiwaonyesha wakiwa faragha huku wakiwa utupu , video iliyowapelekea kushitakiwa na kukamatwa kwa ajili ya mahojiano lakini walikwenda na kuzungumza na baeaza na kila kitu kuwa sawa baada ya kuomba radhi kwa mashabiki.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.