Boyfriend Wangu Alinikazata Kuongelea Maswala ya Billnass;-Nandy

mwana dada Nandy amefunguka nakusema kwa sasa hawezi kuongelea maswala ya mahusiano yake na Billnass kwa sababu yalishapita na pia mwanaume aliyenae kwa sasa katika mahusiano alishamkataza kuongelea maswala hayo.

Nandy anasema kuwa hata alipokuwa nchini Kenya alikuwa akiulizwa na kusumbuliwa sana ktika maswali aliyokuwa akiulizwa hilo lilikuwa likijirdia sana lakini alikuwa akijitaihi kuyakwepa.

download latest music    

Ni kawaida nimefanya interview na maswali kama hayo yalikuwepo sana , hakikuwa kitu kisodo na kilinisumbua sana lakini nilikuwa najitahidi  na yalipita.unavyoniuliza maswali sijui ya billnass mimi siwezi kuyaongelea boyfriend wangu alishanikataza kabisa kuongelea hayo mambo.

Utakumbuka kuwa siku za hapo nyuma Nandy na Billnass walipata skendo ya uvujisha video iliyokuwa ikiwaonyesha wako faragha na kufanya kuwe na maswali mengi kuwa kumbe wawili hao  ni wapenzi lakini wao walisema kuwa walikuwa wapenzi zamanai na sasa kila mtu ana mahusiano yake.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.