Casto Achora Tatoo Yenye Jina la Tunda.

Hapo katikati ilikuwa iemonekana kama hawapo karbu na kusemekana kuwa wawili hao walikuwa wamegombana lakini wamerudi kwa kasi huku wakijitahidi kuwaonyesha watu kuwa wawili hao bado wapo pamoja na hawana mpango wa kuachana hivi karibuni.

Kuna picha zilisambaa zikimuonyesha mtangazaji Casto Dickson akiwa anachora tatoo huku watu wengi wakitaka kujua tatoo hiyo itakuwa inahusu nini na huku wengine wakidai kuwa inawezekana ikwani ya kipenzi chake tunda basi, jibu limekuwa kweli baada ya jibu hilo kupatikana kuwa kumbe jina lililchorwa katika mkono wa casto ni jina la tunda.

download latest music    

Imeleta gumzo sana katika mitandao ya kijamii lakini Casto mwenyewe anajibu kuwa hata kama wataongea kuhusu hilo lakini yeye anafanya kitu kinachompa furaha kwa wakati huo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.