Casto Dickson Amkumbuka Mtoto Wake.

Mtangazaji wa clouds media Casto Dickson ameonyesha kumkumbuka aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake ambae alizaa na msanii muna love kipindi wakiwa wapenzi .

Mtoto huyo aliyewahi kujizolea umaarufu wake akiwa bado mdogo kutokana na maajabu makubwa aliyokuwa akiyafanya baada ya kuokoka alifariki Dunia mapema mwaka huu na kuacha mashabiki wake na wa mama yake katika masikitiko makubwa lakini kubwa zaidi ni ile pande mbili kugombania maiti hiyo.

download latest music    

Hata hivyo cCasto aliandika katika ukurasa wake kuwa amekuwa akimmisi mtoto wake huyo ambapo kipindi cha msba alijitokeza baba mwingine na kudai kuwa mtoto huyo alikuwa wake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.