Casto Kufuta Tatoo ya Tunda

Mtangazaji wa kipindi pendwa  kutoka Clouds Media Casto Dickson  amefunguka na kusemakuwa hata baada ya kuachwa na mpenzi wake Tunda haoni haja tena ya yeye kuendelea kuwa na tatoo ya mwanadada huyo kwa sababu tayari hawana mahusiano.

Ikumbukwe kuwa Casto na Tunda waliwahi kuwa katika mahaba mazito  na hata mtangazaji huyo kusema kuwa hataki kujali wala kusikiliza maneno ya wat wanayosema kuhusu mwanadada huyo,

download latest music    

Casto alifikia hatau ya kutangaza ndoa kwa mwanadada huyo na ksuema kuwa alikuwa mbioni kumpeleka kwa wazazi wake ili akajitambulishe huko.

Sasa basi hata  baada ya kuachana ,Casto anasema kuwa haoni haja ya kundelea kuwa na tatoo hiyo hivyo ataifuta muda wowote.

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.