Chemical Asema Watu wa Aina Yake (Tomboys) ni Romantic Sana

Msanii wa kike wa hip-hop nchini  maarufu kama Chemical amefunguka na kusema kuwa watu wa dizaini kama yake ambae wanakuwa na muonekanao wa kiume ni watu weye hisia kari za kimapenzi na wanajua mapenzi kulikowanawake wengine.

Chemical anasema  kwa watu wa aiana yake wako vizuru sana katika swala la kupenda  japokuwa wtu wengi wamekuwa wakiwadharau na kuwaona kama hawajui chochote kila katika maswala hayo.

download latest music    

Chemical amefunga hayo alipokuwa akiongea katika kipindi cha FNL, kinachorushwa na East Africa Tv baada ya kuvuja na kuenea kwa pcha zake akiwa katika  hali ya kimahaba na producer mmoja wa muziki maarufu nchini anaejulikana kama maximaizer na kusemekana kuwa wawili hao kwa sasa ni wapenzi.

watu kama sisi huwa ni very romantic ni hivyo tu basi watu wanakuwa hawajui kitu kama hicho,na sisi huwa hatutaki kabisa kuwaonysha kwa sababu watajua alafu watatungangania, ile haikuwa kiki kama mnavyosema ila zile zilipigwa tukiwa location kwa ajili ya kutumiwa katika video na nyingine zikatumika kama picha tu za kawaida.

Chemical kutokana na muonekano wake anasema kuwa watu wengi wamekuwa wakimdharau na kumuonahajui chochote katika mapenzi, hata hivyo mwanadada huyo hajawahi kutamka waziwazi kuhusu swala la kuwa na mahusiano na  nani zaidi y mara ya mwisho alipoongea kuwa yuko single na haitaji mpenzi, ambapo pia alisema kuwa hajwahi kujiingiza katika mahusiano wala kufanya mapenzi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.