Davido Aisemea Kolabo Yake na Kiba

Mwana muziki Davido kutoka Nigeria amefunguka na kusema kuwa alishawahi kukutana na Alikiba zaidi ya mara mbili na wamekuwa wakiimba pamoja lakini walikuwa na wazo la kufanya kolabo na anaamini kuwaalikiba kama atakuwa tayari yeye yuko tayari muda  wote.

Davido anasema kuwa upande wake anawezakufanya kolabo na msanii yoyote bila kuangalia nani au nani ili mradi kama atakuwa tayari kufanya nae kazi.

download latest music    

bado sijafanya kolabo na Alikiba lakini nilshakitana nae katika  show kama mara mbili hivi,na ikitokea akataka kufanya kolabo na mimi basi tutafanya na hata wasanii wengine kutoa Tanzania wakija na tukazungumza tukafanya kazi tutafanya.’

Ikimbukwe kuwa Davido aliwahi kufanya wimbo mmoja uliofanya vizuri sana Duniani kote na msanii Diamond kutoka Tanzania wa My One Remix na wamekuwa waki-perfom wimbo huo sehemu mbalimbali .

Davido alikuwa tanzania wkiend hii kwa ajili ya sikukuu ya Eid ambayo imeshakwisha ambapo alifanya vizru sana katika tamasha hilo baada ya diamond kutokea kwa kushtukiza na kukonga nyoyo za mashabiki.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.