Diamond Afanya Uzinduzi wa Wimbo wa Kombe la Dunia(+picha)

Msanii Diamond Platinumz amefanya uzinduzi wa wimbo wa colours alioimba na Jason Derulo, wimbo ambao ni maalum kabisa kwa ajili ya Kombe la Dunia mwaka huu litakalofanyika huko nchi Urusi.katika  ufunguzi wa kombe la dunia nchini  humo wimbo huo utaimbwa na wasanii hawa na kubwa zaidi ni kwamba kwa zaidi ya miaka 20 ya Kombe la Dunia bendera ya Tanzania haikuwahi kupeperushwa katika majukwaa ya Kombe la Dunia lakini itakuwa ni kwa mara ya kwanza bendera hiyo kupeperuka katika kombe la dunia kutokana na ushiriki wa Diamond.

 

download latest music    

Diamond akiwapagawisha mashabiki wake katika ukumbi wa serena hotel

Mkurugenzi wa coca cola Basil Godzioz

Mkurugenzi wa coca cola akikata keski katika ufumbuzi huo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.