Diamond Anyoosha Mikono kwa JPM

mwanamuziki Diamond Platinumz ameshindwa kuvumilia na kutuma barua ndefu ya kumpongeza  rais magufuli kwa kufanya jambo la maana  la kuingiza ndege nyingne ambayo pia itakuwepo kwa ajili ya watanzania.

Ndege hiyo iliwahi kuanza kutangazwa kipindi vha muda mrefu nyuma imewasili tanzania tayari kwa matumiz ya usafirishaji.

download latest music    

Diamond anasema kuwa zamani ilikuwa ikimuumiza sana alipokuw akiona kuwa nchi ya tanzania haina ndege za kwake wenyewe na kutegemea ndege kutoka kwa wawekezaji,diamond anasme kuwa anajivunia sana na sasa anaweza kukaa na kuongea sehemu yoyote kuhusu ilo.

Diamond anasema kuwa wale wanaofanya kazi na kulipa kodi wanaona umuhimu wa hili kwa sababu wanajuauchungu wa pesa lakini wasiojua kazi watakuwa wakilalamika kuhusu uongozi huu.

Diamond anasema kuwa kuanzia sasa anaona kabisa jinsi watu watakavyoanza kulipa kod kwa sababu matumiz ya pesa yanaonekana na hakuna jeuri ya mtoto wa kiongozi mtaani kama zamani, na anaamini kuwa rais magufuli ni rais mzur anaejitaidi kutumia ela ya wananchi kwa ajili ya manufaaa  ya wanachini.

Diamond anasema kuwa hii ndio serikali walikuwa wakiililia kwa muda mwingi na pia chama chake kimekuwa mstari wa mbele kuwaangalia wanachi hivyo anatoa pongezi na shukrani nyingi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.