Diamond Ashindwa Kujizuia kwa Zari, Amwaga Sifa Kemkem

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz amefunguka katika ukurasa wake wa instagram na kuandika maneno yenye sifa kemkem za kumsiafi  mama wa watoto wake ambae ni Zari The Bossy  ikiwa kama salamu za kumtakia kheri ya sikukuu yake ya kuzaliwa.

Diamond anasema kuwa pamoja na yote yanayotokea lakini kamwe hawezi kukaa katika mahojiano au katika mitandao akamuongelea vibaya mwanamke huyo kwa sababu anajua thamani yake kuoitia watoto wake.

download latest music    
“A very special Birthday to the Mother of my Beloved kids…Thank you for blessing me with 2 amazing & cute Kids and thank you for continue being a good Mother to my Kids….Trust me, no matter how crazy & a proud man you think i might be, but am always grateful and i do respect you for that.“That why, you’ve never heard or saw me on any interview talking anything about you….not even talking about my side point of what happened to us!!…coz the kids you blessed me with, means a lot to me…..and that is what made Love, respect and take you more than a blood sister / Brother for Life….May God bless you with long life, Happiness, and More Winning!!!”
Zari na Diamond walifanikiwa kupata watoto wawili ambao kwa sasa tangu kumetokea kutokuelewana katia ya wazazi hao, zari aliamua kuwachukua watoto na kukaa nao kwake Afrika ya kusini.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.