Diamond Atajwa Kuharibu Ndoa ya Zari na Maulid

Kulikuwa na tetesi kuwa mtangazaji Maulid Kitenge anatarajia kumuona Zari the  Bossy na kwamba alikuwa tayari katika mipango ya kumtolea mahali mwanamama huyo kutoka uganda hivi karbuni lakini habari zinazoendelea ni kwamba mwanadada inawezekana ndoa hiyo isiweze kufungwa kutokana na kuwa waganda wamegoma kabisa Zari kuolewa na mwanaume mwingine tofauti na Diamond.

Moja ya watu wa karibu wa Zari anasema kuwa kulikuwa tayari na mipango za Zari kutolewa mahali hivi karibuni na kuolewa na Maulid  lakini sasa shida imetokea baada ya kuonekana kuwa mashabiki wengi wa Zari na waganda wanampenda sana Diamond kuliko mwanaume yoyote kwa sasa kuwa karibu na Zari.

download latest music    

Hata hivyo chanzo cha habari hicho kinasema kuwa mitandao ya kijamii huko nchini kwao wanamtaka Zari kurudiana na diamond na hasikubali kuolewa na mwanaume mwingine.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.