Diamond Kutambulisha Kifaa Kipya.

Msanii Diamond Platinum hata baada ya kutoa povu kuwa amekuwa akizushiwa kutoka na kila msichana anaekuwa nae karibu amezua tena gumzo baada ya kuweka  kuweka clip ikionyesha amendika jina la mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la tanasha.

Mwanadada huyo mrembo anaesemkana kutoka Kenya ambae ni mtangazaji lakini pia ni video vixen na aliwahi kutokea katika wimbo wa Alikiba wa nagharamia , anasemwa kuwa katika mahusiano na wanamuziki huyo mkubwa mwenye sifa ya kubadili wanawake kila kukicha.

download latest music    

katika snapchat yake, Diamond alionyesha kuchra jina la mwanadada huyo Tanasha huku akisema kwa nguvu na kujirekodi kuwa “I LOVE YOU TANASHA AND I MISS YOU ” huku maneno hayo yakiwa yameandikwa katika mchanga wa bahari.

Hata hivyo Diamond alimtambulisha mwanadada huyO katika tamasha a wasafi festival Mtwara kama shabiki yake kutoka Kenya.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.