Diamond Kuwapandisha Mademu Zake Watano Mtwara.

Wasanii wa kike maarufu waliowahi kutoka kimapenzi na msanii Diamond Platinumz wote wanategemewa kupnada jukwaani siku ya November 24 mwaka huu katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara katika tamasha laWasafi festival.

Wanawake hao ambao kwa sasa kila mtu amekuwa na mahusiano yake na huku wengine kusemwa kuwa inawezekanawakwa bado wako katika mahusiano na msanii huyo wanategemewa kuwepo katika tamsha hilo ili kulinogesga zaidi.

download latest music    

Haijulikana tension ya wanawake hawa itakuwaje hasa ukizingatia kuwa wote waliwahi kuwa katika mahusiano na msanii huyo na haijulikana makubalino ya wasanii hao wote wa kike ukizingatia kuwa watakutana wote katika tamsha hilo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.