Diamond ni Kama Mkate :-Steve Nyerere

msanii Steve Nyerere amefunguka na kusema kuwa mara nyingi amekuwa akijikuta akifanya kazi na msanii Diamond Platinumz kutokana na ukubwa wake katika maswala ya muziki bila kuwa na pingamizi la aina yoyote.

Msanii huyo anasema kuwa Diamond amekuwa kama mkate ambao mara nyingi umekuwa na radha tofauti tofauti za kuchagua kulingana na mahitaji yako na familia yako pia.

download latest music    

Diamond anajua kabisa, anasema nyakati, anatambua sasa hivi watu wanataka nini, amekuwa kama mkate , kuna mkate wa kisukari , kuna wa hali ya hewa na kuna ule wa hali ya chini kabisa na hali ya kawaida. sijawahi kumkataa alikiba kwa sababu mimi na muziki ni kama jeshi na mgambo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.