Dida Adaiwa Kumwaga Radhi Ukumbini

Mtangazaji mkongwe wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Times Fm, Khadijah  Shaibu maaruufu kama Dida amedaiwa kumwaga Radhi ukumbini katika sherehe ya mdogo Wake.

Global Publishers wanaripoti kuwa Dida Katika sherehe hiyo iliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Tanzanite uliopo Msamvu mkoani hapa, Dida alikuwa mmoja wa mastaa ambaye aligeuka kuwa gumzo kutokana na matukio aliyokuwa akiyafanya.

download latest music    

Kwanza kabisa, Dida alitinga ukumbini hapo saa 6:00 usiku huku akiwa amevaa kigauni kifupi kilichomwacha wazi sehemu ya mapaja yake. Baada ya kuingia, moja kwa moja alipanda stejini na kuanza kucheza kihasarahasara huku kigauni hicho kikipanda na kuacha wazi sehemu zake nyeti.

Hali hiyo ya kuacha nje nyeti zake hizo iliibua minong’ono kutoka kwa wageni waalikwa wanaojiheshimu wakisema kuwa alichofanya siyo sawa.

Huyu Dida ni mtangazaji mwenye jina kubwa nchini, kwa mantiki hiyo ni kioo cha jamii, lakini mavazi na matendo yake anayofanya hapa ukumbini ni kinyume na maadili,” alisikika mgeni mmoja wa wageni waalikwa akijadiliana na mwenzake”.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.