Diva Akiri Kuchezea Kichapo Cha Heri Muziki

mtangazaj maarufu bongo na mwenye sauti ya pekee diva Gissele amekiri kuwa picha zilizokuwa zinavuja katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha akipokea kichapo na mpenzi wake Heri Muziki ni za kweli lakini hazikuweka na yeye katika mitandao bali kuna mtu alikuwa akiwavizia na kuzirekodi picha hizo.

Diva anasema kuwa ni kweli tukio ilolilitokea wikiiliyopita maeneo ya kinondoni  na kudai kuwa wakati wakigombana na mwanaume wake kumbe kulikuwa na mtu pembeni ambao wao hawakumuona alikuwa akiwarekodi na ndie aliziweka picha hizokatika mitandao ya kijamii.

download latest music    

Diva anasema kuwa ugomvi huo na mpenzi wake ulisababishwa na wivu wa Heri Muziki kwa kumtuhumu kuwa alikuwa akimsaliti lakinis io kweli ambapo baada ya ugomvi huo alifuta picha zote ambazo ni zake katika ukurasa wake  wa instagram.

Heri amefuta picha zinazonihusu mimi  katika mtandao wa instagram,anyway najua hayo yote ni maamuzi yake na yamekuja baada ya  tukio lililotokea wiki iliyopita.He is grown up  and he knows what he is doing.Mimi sijafuta hata picha moja katika instagram yangu  i always  keep memories

Hata hivyo diva akanusha kitendo cha mpenzi wake huyo kumtuhumu kuwa alikuwa akimsaliti wakati sio kweli hata kidogo.

Mimi sijawahi kumsaliti Heri hata siku moja,am very faithful hasa ninapokuwa na mahusiano na mtu ,He has his own thing going on on his life  but that has nothing to do with me.Siwezi kumzungumzia kwa mabaya  namheshimu sana kwa sababu amekuwana mimi katika kipindi cha shida na raha kwaio siwezi kumzungumzia vibaya ,then maisha yangu ya mapenzi nataka yawe private.

Hata hivyo Diva anasema kuwa maisha lazima yaendelee  kwa sababu katika mapenzi kukosana kupo.

in life or relationship kukosana kupo, kuna beyonce na jay z watu walikuwa wanahisi il ndo perfect couple  lakini watu walishuhudia ,so its normal  i just keep the positive life, at the end heri he is the father of my child.

Mwishoni kabisa Diva aliwaomba msamaha wana familia yake na mashabiki wake kwa kuona picha hizo zilizokuwa zikisambaa katika mitandao akipigwa na kuvuja damu kuwa ni maisha ya mapenzi ambayo kila mtu anaweza kuyapitia.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.