Dkt. Elly Macha mbunge wa Viti Maalum,Chadema Afariki Dunia

Daktari Elly Macha,aliyekua mbunge wa Viti Maalum wa chama cha CHADEMA, amefariki dunia leo.

Dkt. Elly Marko Macha aliaga dunia katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa akipata matibabu.

download latest music    

Bi. Macha aliyekuwa mlemavu wa macho amefariki akiwa na umri wa miaka 55 (1962-2017).

Mola amlaze mahala pema

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua