Esma Amkumbuka Mtoto wa Hamisa, Asema Amemuota.

Dada wa msanii Diamond Platinumz amewashanga baadhi ya watu katika mtandao wa kijamii baada ya luweka picha ya mtoto wa kaka yake huyo aliyezaa na Hamisa Mobeto, mtoto ambae ilisemekana kwa muda mrefu Esma na mama yake wamekuwa wakimchukia kutokana na chuki walionayo kwa mama yao.

Katika ukurasa wake wa instagram, Esma aliandika kuwa amemuota Daylan akimuita aunty na kusema kuwa mapenzi  yake kwa watoto hayaishagi hivyo amemmisi mtoto huyo.

download latest music    

DEE leo nimemuota anaita aunty aunty mara nikamfuata kumuhug namuona mtu mrefu shit ndoto ikaisha hapo hapo kuaribiana ndoto tu , #missyoudeenomatterwatmyangel.aunty loves you kama mnavyonijuaga  kwa watoto kujikazaga siwezi.-Aliandika Esma

Ni vigumu kuamini kama inaweza kutokea post kama hii katika ukurasa wa dada huyo kutokana na ugomvi mkubwa uliokuwa ukiendelea katika mtandao kati ya Hamisa na ndugu wa Diamond Platinumz.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.