Ester Kiama Amtamani Sana Jokate

Mwanadada Ester Kiama amefunguka na kusema kuwa amekuwa akitamani sana kufanya kazi anayofanya Jokate sasa hivi tangu alipoteuliwa  na mh Rais kwa sababu amekuwa moja ya viongozi wa kike vijana wenye mafanikio sana kwa kile wanachokifanya katika jamii.

Ester Kiama nasema kuwa kwa sasa Jokate amekuwa moja ya watu anaowaangalia sana kama role model wake na anatamani sana siku moja kuwa kama jokate.

download latest music    

unajua nimekuwa nikitamani sana kuwa kama mkuu wa wilaya flani hivi ingawa pia najua sio kazi rahisi, kwakweli na jkate ndio amekuwa akinifanya nitamani sana kuwa hivyo, navutiwa na utendaji kazi wake lakini pia anavyinyuka zile suti,  na mimi nimesahaanza kumuiga katika uvaaji.

Jokate ni moja ya wanadada wanaotamaniwa sana na wasanii wengine wengi kutokana na umaridadi wake katika kazi lakini pia ni kiongozi kijana ambae hajaacha afashion nyuma.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.