Faiza Ally Awatolea Povu Mashabiki

Mwanadada Faiza Ally amewatolea povu zito mashabiki zake baada ya kusema kuwa mashabiki wengi wamekuwa wakiwafanya mastaaa kuishi maisha wasiyataka kutokana na maneno wanayokwa wakisyasema ktika mitandao ya kijamii sana.

Faiza anasema kuwa mashabiki wamekuwa wachochezi sana na hata ukiona wasanii wanarushiana maneno na wasanii wengine ni kutokana na maneno ya wasanii yanayowafanya kuwa maadui na kuishi wanavyotaka wao.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instagram, Faiza anasema kuwa mashabiki wamekuwa wakiyumbisha sana maisha ya wasanii wakubwa na kwamba maneno yanayosema katika mitandao yanaitaji mtu jasiri lakini kama sio jasiri unajikuta ukiishi maisha feki.

Nyie mashabiki wa insta mnayumsiha sana maisha ya watu na ndio maana mnafanya watu wanaishi maisha feki,,,,its take very strong person kuishi maisha yake.maana watu halisi mnawabeza na kuwashabkia wat feki kwaio kinachofata ili waishi maisha mazuri inabidi tu waishi maisha feki tu ili kuwaridhisha nyinyi.mnataka watu wawape raha lakini huku wao wanakufa na tai shingoni.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.