Faiza Anatafuta Penzi kwa Sugu Sio Pesa :- Mwijaku

Msanii mwjkau amefunguka na kuongelea kile kinachoendelea kati ya Faiza na baba wa mtoto wake mbunge Joseph Mbilinyi ambao waliachana miaka kadhaa iliyopita na kufanya mbunge huyo kumvusha pete na kutangaza ndoa kwa mwanamke mingine kitu ambacho kimekuwa kikimnyima Faiza usingizi.

Mwanamama huyo ambae amekuwa akisema kuwa hawezi kuwapa hongera watu hao kwa sababu swala la ndoa halijampendeza na anaomba hata uchumba huo uvunjike.

download latest music    

Yule kuna sehemu ameguswa , kwa sababu nikimwangalia faiza na dsugu sioni kama kuna sababu ya kusema sugu alimpendea pesa yule mwanamke hapana, na kwa style ile faiza wala hataki pesa kwa sugu lakini faiza anapigania penzi inawezekana kabisa kuwa mtu aliyekuwa nae hamfikishi.

tatizo la wanawake bhana kana kuna mwanaume alikuwa anamkuba hapa , haweiz kupata mwanaume mwingine akamshikisha hapo hapo , na inawezekana akawa na kucha kubwa asimkune  vizuri.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.