Feza Kessy Ataja Kitu Kinachowavuta Wanaume Wengi Kwake

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Feza Kessy amefunguka na kuweka wazi kuwa wanaume wengi wamekuwa wakivutiwa zaidi na kicheko chake kuliko vitu vingine.

Feza amesema wanaume wengi ambao amekuwa ameku a akiongia nao Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi wamekuwa wakivutiwa zaidi na kicheko chake.

download latest music    

Kwenye mahojiano na East Africa Tv, Fezza amedai amegundua hilo baada ya kukutana na maoni mengi  kutoka kwa wanaume kupagawa na kumsifia kicheko chake:

Mwanzoni nilijua watu wananitania tu, ila bwana kila mwanaume ninayempata unakuta anapenda cheko langu lakini mwanzo ilikuwa ngumu kuamini kuwa wanaume wengi wanapenda kicheko changu, lakini kwa sasa hivi naamini mpenzi wangu ndio kitu kikibwa anapenda”.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.