Filamu ya Wema na Chemical Kuwafikia Mashabiki.

Filamu ya Mary iliyoigizwa na wema sepetu na msanii wa bongo fleva chemical inatarajiwa kuanza kuwafikia mashabiki hivi karibuni baada ya filamu iyo kutangazwa kwa muda mrefu na kusubiriwa sana na mashabiki.

Katika picha ya nje ya filamu hiyo ambayo inawaonyesha watu wawili tu Chemical na Wema Sepetu Inaelezea maisha ya msichana mwenye maisha magumu na mwenye  kuhangaka na maisha hukuWema Sepetu akiwakilisha wasichana wa aina hiyo.

download latest music    

Filamu hiyo itaachiwa muda wowote na msanii Chemical na itakuwa ikipatikana katika channeli yake ya youtube.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.