Furaha tele kwa wasanii baada ya filamu za kibongo kuanza kuuzwa China

Furaha imewajaa wanafilamu wote Tanzania baada ya filamu za kibongo kuanza kuuzwa China.

zitakuwa zikitafsiriwa kwa lugha ya nchi hiyo kama ambavyo Rufufu amekuwa akitafsiri za kwao hapa nchini.

download latest music    

Kulingana na Bongo 5, aliyekuwa Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye aliwaombea wasanii hao kwa serikali ya China ambapo maombi hayo yalipokewa kwa mikono miwili.

Rais wa Shirikisho la Filamu Nchini, Simon Mwakifwamba alisema wamepanga kuanza kutengeneza filamu zenye viwango vya juu ili kuweza kukimbizana na soko hilo lenye idadi ya watu zaidi ya bilioni moja.

China imezindua wiki ya filamu zake hapa nchini ambapo kazi hiyo inasimamiwa na kampuni ya ving’amuzi ya Star Times ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Nnauye.

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi