Gigy Atamani Kuzaa na Diamond na Idris, Lakini Sio na Nay wa Mitego.

Mwanadada Gigy Money ambae kila siku huwa hachoki kuwa na drama za hapa na pale amefunguka na kusema kuwa katika sifa alnazozitaa kwa mwanaume moja wapo ni mwanaume mrefu .hata hivyo gigy maewatolea mfano wa wanaume ambao natamani kuzaa nao kwa sababu anaamini kuwa akizaa nao watato watoto wazuri sana.

pamoja na kwamba gigy money kwa sasa anamtoto ambae amtimiza kama miezi mitatu tangu kuzaliwa, lakini bado Gigy Money anasema kuwa anaweza kuwa na ndoto ya kuzaa na  Idris Sutani pamoja na Diamond  kwa sababu anaamini watoto watakuwa wazuri sana.

download latest music    

Natamnai kupata mtoto na idris na diamond kwa sababu naamini mtoto atakuwa mzuro kweli kweli , mimi ninapenda sana wanaume warefu kwakweli .Lakini pia siwezi kuwa kwenye mahusiano na Nay wa mitego.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.